Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika uti wake wa mgongo na miguu.
Mwanaume huyo anatamani na anapenda kuwa mwanamke aliwaambia wazazi wake kuwa anapenda kuwa wa kike.
Piyah kwa kusisitiza hilo pindi alipotimiza miaka 15 alianza kununua nguo za kike na kuzivaa na sasa anafanyiwa mpango wa kuanza tiba ya kuwekewa homoni za kike ili awe mwanamke kamili
No comments:
Post a Comment