Naibu waziri Adamu Malima aliibiwa kila kitu alipokuwa hotel ya Roshela mjini Morogoro, Alikaa ndani tangu asubuhi mpaka mida ya saa saba bila kutoka nje kutokana waliiba hadi nguo, ripoti inasema nguo alizo vaa kwa wakati ule alikuwa amepea na wasamalia wema wa karibu na eneo hilo.
kwa mlinzi getini
Source: JF
No comments:
Post a Comment