Anajiita, MODEL, au MISS TANZANIA.Ni binti wa kibongo maarufu kwa jina la Millen Magese akiwa katika pozi la KICHUPI style lililoanzishwa na WAKOLONI maarufu kwa jina la wazungu na kupokelewa kwa mikono miwili na baadhi ya mabinti wa kibongo hasa mastaa....
Kichupi style imekuwa na madhara makubwa sana kwa WANAUME tangu kuanzishwa kwake..Moja ya madhara hayo ni UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME...
Miaka ya 1960 ilikuwa ukiliona paja la mwanamke ni lazima UINGIE BAFUNI kwanza.Leo hii mapaja, matiti, matumbo na nyeti za akina dada hazina thamani tena mbele ya jicho la mwanaume....
No comments:
Post a Comment