Kuna vyanzo vinavyodai kuwa Lupita Nyong’o na Michael Fassbender ni wapenzi na kwamba wako tayari kutulia na kuwa na uhusiano serious wa kimapenzi. Inasemekana kuwa wote wamekuwa na uhusiano kwa miezi sasa.
Chanzo kimeliambia gazeti la The Sun: “Wana connection ya aina yake baada ya kufanya filamu ya 12 Years A Slave na kisha kuipromote pamoja. Lupita ni mwanamke anayetakwa sana kwa sasa duniani hivyo itakuwa ngumu kuufanya uhusiano udumu lakini chemistry yao haipingiki.”
>>BONGO5
No comments:
Post a Comment