Juzi na jana kulikuwa na habari katika gazeti na mitandao mingi kuwa Wastara na Bond Bin Suleiman ni wapenzi na wamekuwa wakifanya siri sana huo uhusiano wao. Habari ambazo zilinukuu chanzo kimoja zilieanda mbali zaidi zikisema huenda Bond ana tabia ya kufanya mapenzi na mwanamke kotekote kwani aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Lulu Semagongo(Anti Lulu) alidaiwa kuwahi kukaririwa akisema kuwa anapenda sana kufanya mapenzi kinyume na maumbile na hawezi kuacha tabia hiyo.
Baada ya habari hizo kusambaa ilibidi blog yetu kuwatafuta mastaa hao wawili na wa kwanza kupatikana alikuwa ni Wastara na alikana kuwa katika penzi na Bond ila alisema wanafanya kazi pamoja kwani kwasasa wanashuti filamu mpya ya Bond inaitwa Uaminifu Dhaifu. Aliongeza kwa kusema kuwa Bond ni kama kaka yake. "sina mahusiano na Bond zaidi ya kikazi tu na zile picha zote ambazo unaziona ni wakati tupo location tukiandaa filamu yake inaitwa Uaminifu Dhaifu, huo ndiyo ukweli, bora mume wangu angekuwepo haya yote yasingetokea
No comments:
Post a Comment