Wakazi wa kijiji cha Kahaini wilayani Maragua wameamkia majonzi baada ya mwili wa msichana wa miaka mitano kupatikana mita chache kutoka shule aliyokuwa akihudhuria. Na kama hilo halikuwa kubwa, baya Zaidi, mjombake mtoto huyo yuko korokoroni baada ya kukiri kumnajisi mpwa wake kisha akamuua na kuutupa mwili wake. Kuwa unyama umewatoka hayawani na kuwaingia binadamu, jamaa huyo alidai kuwa pepo ndio waliomtuma kutekeleza unyama huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment