Fuse OGD umeondoka ila waliohudhuria show yako wamebakwa na kupoteza mali
kusema ukweli mpenzi wa Mungu hii show ilibamba sana but the prob was security huwezi kuamini, wasichana wengi walibakwa na kuibiwa mali zao, ninaomba walioandaa tamasha hili ki staarabu tu kupitia hii web ya wasema ukweli, siku nyingine mkiandaa tamasha wekeni walinzi na mbwa wengi ili wawasaidie wakina dada wanaovinyuka vimini, show bila madada haiwezekani na haswa wakitinga vimini, sasa kwanini mnakubali wananyanyasika kwa kubakwa a kupokonywa mali?? |
No comments:
Post a Comment