aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 15, 2013

Picha: M 2 the P, Chamber Squad na Dully Sykes wafanya dua kwenye kaburi la Mangwea

Kundi la Chamber Squad (Noorah na Maze B) aliyekuwa rafiki wa karibu na marehemu Albert Mangwair, M2 the P, Dully Sykes, Mchizi Mox na wengine leo wamemtembelea mama yake Ngwair mjini Morogoro pamoja na kwenda kwenye kaburi lake na kumuombea.
IMG_0903
M2 THE P akiwasha mshumaa kwenye kaburi la rafiki yake Mangwea.M2 the P akiwasha mshumaa kwenye kaburi la rafiki yake Mangwea
M2 THE P,Dully Sykes,Mchizi Mox na wadau wengine kumuombea rafiki yao kipenzi marehemu Albart Mangwea.M2 THE P, Dully Sykes, member wa Chamber Squad na wengine wakimuombea rafiki yao kipenzi marehemu Ngwair
Shughuli hiyo ya kumuombea marehemu Albert Mangwea ilienda sambamba na kuwasha mishumaa kwa imani ya kikristu ili kumwangaza huko aliko.
IMG_0902Maze B akipiga picha kaburi la Ngwair
IMG_0911
IMG_0912Mchizi Mox akiwa ameshikilia mishumbaa mbele ya kaburi la Mangwair
IMG_0914Sala ya kumuongea Ngwair ikiendelea
IMG_0904
IMG_0906
IMG_0908
IMG_0909

IMG_0910
SOURCE: BONGO5

No comments:

Post a Comment