Usiku wa kuamkia leo, kampuni ya SK Entertainment ikishirikiana na Unity Entertainment, iliangusha party iliyopewa jina ‘East Meets West’ ambapo host alikuwa msanii wa Nigeria, J-Martins. Party hiyo ilitawaliwa na sherehe ya birthday kumpongeza Ommy Dimpoz aliyekuwa akisherehekea siku hiyo jana, Elements Lounge, Dar es Salaam. Tazama picha ya jinsi mambo yalivyokuwa.
Arthur, J-Martins na Salama
AY na Mwana FA wakiteta jambo
Baadhi ya warembo waliohudhuria party
Baadhi ya watu waliohudhuria wakichukua picha
Hamisa Mobeto
J-Martins na Ommy Dimpoz
J-Martins na Salma Msangi
J-Martins, Ommy Dimpoz na Man Walter
Kuanzia kulia ni Gillsant Mlaseko, Carol Ndosi, Fid, Salama na AY. Aliyekupa mgongo ni Michel Mbwambo
Kumbukumbu
Mboni Masimba: Hi Dimpoz!!
Mboni: jamani hawamuonei huruma Ommy? Jamaa wa pembeni, ‘mi simo’
Meneja wa Heineken Tanzania , Uche Unigwe, Ommy Dimpoz, Salama na rafiki
Gillsant Mlaseko, Fid Q na Arthur
Mrembo akicheza mbele ya J-Martins
Mrembo akipose kwenye camera ya Bongo5
Mrembo huyu aligeuka kivutio kwa uchezaji wake wa kichokozi
Mshindi wa BBA 3 Kevin Pam wa katkati akiwa na Lucci, kulia na rafiki
Mwana FA, Wakazi na Ommy Dimpoz
Na Bado!!
Nimekasirika
Ommy Dimpoz akifurahia licha ya kuogeshwa kwa lazima
Ommy Dimpoz akikata keki
Ommy Dimpoz akiogeshwa na pombe na maji
Ommy Dimpoz akionesha hana hamu kwa mvua ya pombe alizomwagiwa
Ommy Dimpoz akiwa na furaha tele
Ommy Dimpoz, AY na Mwana FA
Salma Msangi wa Channel Ten akichukua picha kwa ustadi
Sam Misago akichukua picha kwaajili ya blog yake
Jamaa pembeni anaonekana akisema, ‘sister picha nzuri unachukua wewe tu’
Wakazi, Fid Q na Ommy
Wakazi
Warembo wakipose kwenye camera
Watangazaji wa Times FM, Raheem Da Prince na Cynder King wakiwa na warembo
Yalaaaaaaaaaaa
Vijana wakicheza wimbo maarufu wa Mafikizolo, Khona
SOURCE: BONGO5

No comments:
Post a Comment