Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya Kufumaniwa na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma.
Alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika eneo la tukio na kumchukua mama huyo,tunafanya jitihada za kumpata msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktari kuhusu kutokuwa na sehemu zake za siri
Panda mama tukifika huko tutajua zipo au zimetoweka...
Majanga jamani ...mama aliyepoteza sehemu za siri akipelekwa polisi
No comments:
Post a Comment