aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 8, 2013

MSIBA...MUIGIZAJI WA FILAMU ZUHURA MAFTAH(MALISA) AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia ni kuwa muigizaji wa filamu nchini Zuhura  Maftah ambaye wengi wanamjua kama Malisa amefariki dunia. Bado hatujajua kilichosababisha kifo cha muigizaji huyo lakini 
tutakuletea updates zaidi. 
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amen
 
                                                    Malisa
 

No comments:

Post a Comment