Askari wa kundi la ISIS akimwekea jambia shingoni mmoja wa wafuasi wa Bashir al-Assad kabla ya kumkata kichwa.
WATU wanaomuunga mkono Rais wa Syria, Bashir al-Assad, wamekuwa wakikamatwa na kuuawa mbele ya wananchi. Mauaji yamekuwa yakifanywa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukatwa shingo au viungo vya mwili kwa kutumia majambia na silaha zingine.
Haya yote hufanyika mbele ya watu wanaoshangilia na wengi wao wakiwa na silaha. Miongoi mwao ni pamoja na watoto. Mauaji ya mwisho ambayo yalinaswa hivi karibuni ni yale yaliyotokea katika mji wa Keferghan kaskazini mwa nchi hiyo.
Inasemekana mauaji hayo hufanywa na kundi la ISIS ambalo ni tawi la Al-Qaeda linalompinga Assad na wanaofanyiwa mauaji hayo ni kundi linalojulikana kama Shabiha (Mizimu) ambalo linamuunga mkono rais huyo.

SOURCE:GPL
No comments:
Post a Comment