Leo ndiyo ilikuwa siku ya mwisho ya kuuaga mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu Bongo, Zuhura Maftah ‘Melisa’ aliyefariki dunia Jumapili iliyopita katika hospitali ya Hindu Mandal ambapo majonzi yalitawala nyumbani kwa dada yake Mikocheni ulikokuwa ukiagwa mwili wake na kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, Dar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment