The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Ads 468x60px
Tuesday, September 3, 2013
Halle Berry Anaswa Akifanya Shopping na ‘Tumbo Lake’
Mwigizaji wa nchini Marekani Berry Halle 47, ambaye anatarajia kujifungia hivi karibuni amenaswa hivi karibuni na mapaparazzi akifanya shopping huko Beverly Hills, Calif, akiwa na mtoto wake Nahla mwenye umri wa miaka 5.
Berry alionekana akiwa amechoka na kuzeeka kutokana na mimba hiyo akiwa amevaa gauni lenye rangi ya bluu na nyeupe maxi.
Yeye na mumewe Olivier Martinez 47, wanatarajia kupata mtoto wa kiume hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment