ninatambulisha rasmi,Audio ya wimbo wangu
mpya wa Number 1. ambapo pia nilipata fursa ya
kuzungumzia yale yote yaliyokuwa
yakizungumzwa kuhusu mimi,kuanzia swala la madai ya
Dayna na Baba levo pamoja na tuhuma za binti aliyedai ana mtoto wangu.so
kwa wewe shabiki yangu ambaye hukupata nafasi ya
kuniskiliza.sikiliza audio ya mahojiano yangu kupitia hapa hapa.
Kumbuka tu kuwa,usiamini chochote ambacho sijakitamka mimi rasmi. NA WATUWACHE TULALE.
MSIKILIZE HAPA CHINI:
No comments:
Post a Comment