aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, December 2, 2013

MSANII TIMBULO ANASWA AKIFANYA UCHAFU HADHARANI BILA AIBU...MTAZAME HAPA, NI LAANA TUPU...

Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya(bongo flava) Ally Timbulo (Timbulo) amefumwa akifanya MAPENZI na  chipukizi wa filamu Isabela Francis,tukio hili lilitokea juzi usiku wa manane maeneo ya Ilala. tazama picha  wakiwa kwenye mahaba mazito!!!!


 


NOMA..!! MTANDAO WA WHATSAPP WAMUUMBUA MREMBO, NI BAADA YA PICHA ZAKE ZA UCHI ALIZOKUWA ANAMTUMIA MPENZI WAKE KUVUJA..

DADA ambaye jina lake limehifadhiwa  ni mkaazi wa songea mjini maeneo ya mfaranyaki jirani na ukumbi wa disco wa buhemba mkoani humo. 

 Chanzo chetu cha habari kilifunguka kwamba hana makaazi maalum ila inasemekana amefungua mgahawa wake sehemu za machimboni mpakani mwa Tanzania na
Msumbiji,

Picha zimepigwa wiki chache zilizopita, Chanzo cha habari kiliendelea kueleza kwamba dada huyu alipigwa picha hizi kwa hiyari yake na kumtumia mtu ambaye pia jina lake halikutajwa ila ilisemekana ni mfanya biashara.

JAMANI DADA ZETU HEBU JARIBUNI KUITUMIA MITANDAO VIZURI KATIKA SIMU ZENU SIO KILA KILICHOWEKWA KWENYE SIMU NI CHA KUTUMIA., TUMIA KWA ISHU MAALIMU.

UNAONA SASA DADA UNAVYODHALILIKA?

NI WAKATIWENU KUJIFUNZA KUPITIA HUYU ALIOKOSEA HAMJACHELEWA.
ONYO! KUTAZAMA PICHA HIZI HAPA CHINI LAZIMA UWE NA UMRI WA MIAKA (18+)
 


HAYA NDIO MAKOSA 11 AMBAYO ZITTO KABWE ANATUHUMIWA NA CHADEMA


MASHITAKA 11 dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, yamebainisha kuwa kosa kubwa la kiongozi huyo kijana, ni nia yake ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.
Chanzo chetu cha habari kilichoona mashitaka hayo kabla ya kutumwa kwa washitakiwa, kimebainisha kuwa makosa saba kati ya makosa 11, yanahusu kugombea uenyekiti Taifa, au kumkashifu Mwenyekiti wa Taifa.
“Ukiona hayo mashitaka yenyewe ndugu yangu, yanajirudia rudia na kuzunguka katika kosa moja la nia ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa… angalia kosa la kwanza, kosa la tatu, tano, sita nane na tisa, ni kama vile kuwania uenyekiti ndio kosa kubwa.
“Hata hivyo kwa jinsi mgawanyiko ulivyo ndani ya chama sasa, nakuhakikishia hawa jamaa (Zitto, Dk Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba), watarudishwa katika nyadhifa zao na hakuna atakayeadhibiwa,” alisema mtoa taarifa wetu.
Alinukuu kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu aliyehoji kama makosa wanayotuhumiwa akina Zitto ni makubwa kiasi cha kuyeyusha mema aliyoyafanya katika chama. “Si umesikia akina Baregu wakizungumza? Kwa mashitaka yale nakuhakikishia kitakachofanyika ni kufunika kombe mwanaharamu apite,” alisema mtoa habari wetu.
Kosa la kwanza kwa Zitto, Dk Mkumbo na Mwigamba, wanadaiwa kuvunja Kanuni ya Chama inayokataza kukashifu chama, kiongozi au mwanachama yeyote. Katika maelezo ya kosa hilo, akina Zitto wanadaiwa kumkashifu Mwenyekiti wa Taifa, Mbowe, Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa na Mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema.
Moja ya madai katika mashitaka hayo, ni kilichoandikwa katika Mkakati wa Mabadiliko 2013, kuwa Mbowe amekuwa akinunua vifaa vyote vya chama nje ya nchi kwa bei anayoijua mwenyewe na ambayo haihojiwi popote. Wanadaiwa pia wamemkashifu Dk Slaa kwa kudai ni mdhaifu kwa kumruhusu Mbowe kuingilia shughuli za kiutendaji.
Zitto na wenzake wanadaiwa katika kosa la pili, kutokuwa wawazi na wa kweli wakati wote na kushirikiana na vikundi vya majungu na udanganyifu kinyume na Kanuni za Uendeshaji kipengele cha 10.1 (VIII. 

Katika kosa la tatu, wanadaiwa kutoa tuhuma juu ya viongozi wenzao bila kupitia vikao halali na utaratibu wa ngazi zilizowekwa, kinyume na kanuni ya 10.1 (X).
Katika kosa la nne, akina Zitto wanadaiwa kujihusisha na vikundi vyenye misingi ya ukabila, udini au ukanda ambavyo vina makusudi ya kubaguana ndani ya chama, miongoni mwa jamii, kisiasa au kijamii. Katika kosa hilo wanadaiwa kwenda kinyume na kipengele cha 10.1 (IV), cha Kanuni za Uendeshaji wa Chama.
Akina Zitto katika kosa la tano, wanadaiwa kujihusisha na vitendo vya kuchonganisha na kuzua migogoro kwa viongozi wa chama au wanachama, kinyume na kifungu cha 10.1 (IX), cha Kanuni za Uendeshaji wa Chama.
Katika kosa la sita ambalo mtoa habari wetu alisema ndio kubwa, Zitto na wenzake wanadaiwakutekeleza mpango wa kusudio la kugombea uenyekiti wa Chama Taifa, bila kutangaza kusudio la kutangaza nafasi hiyo.
Hatua hiyo inadaiwa kuwa ni kinyume na kifungu 2.C cha Muongozo wa Kutangaza Kusudio la Kuwania Nafasi ya Uongozi wa Chama, Mabaraza na Serikali wa 2012.
Zitto na wenzake katika kosa la saba, wanadaiwa kutengeneza mitandao ya kuwania uongozi ndani ya chama kwa nia ya kujihakikishia ushindi kinyume na kanuni ya 2 (D), ya Muongozo wa Kuwania Uongozi. 
Katika kosa la nane, Zitto na wenzake wanadaiwa kuwachafua viongozi na wanachama wengine wenye kusudio/nia ya kutaka kugombea nafasi ya uenyekiti kinyume na kifungu 2 (E) cha Muongozo wa Kuwania Uongozi.
Katika kosa hilo, kumewekwa maelezo ya ziada kuwa kosa hilo linaunganishwa na kosa la kwanza ambalo washitakiwa wanadiwa kuwakashifu Mbowe, Dk Slaa na Lema.
Kosa la tisa, akina Zitto wanadaiwa kujihusisha na upinzani dhidi ya chama na makundi ya majungu ya kugonganisha viongozi na wanachama wakati wa uchaguzi wa chama, kinyume na kifungu cha 10.3 (IV), cha Kanuni za Uendeshaji.
Kosa la kumi linamhusu Zitto peke yake, ambapo anaidaiwa kukashifu chama na kiongozi wa chama nje ya Bunge kinyume na kifungu 2 C (B), kikisomwa pamoja na kifungu 3 B cha Kanuni za Mwenendo wa Maadili ya Wabunge.
Katika hilo Zitto kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa chama yaani Dk Mkumbo na Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana, wanadaiwa kusambaza waraka uitwao Mkakati wa Mabadiliko 2013.
Mkakati huo, unadaiwa kukashifu chama na/ au viongozi wake wakuu kama ilivyoelezwa katika kosa la kwanza, tatu, nne na nane.

Mwisho katika kosa la 11, Zitto na wenzake wanadaiwa kuchochea mgawanyiko ndani ya chama kinyume na kanuni ya 3 F ya Kanuni za Mwenendo wa Maadili ya Bunge.

 *******
>>> Mashitaka  kwa  hisani  ya  Habari Leo>>>>

HII KALI!KHADIJA KOPA AVAMIWA NA VIJANA WAHUNI BAADA YA KUKATIZA MTAANI NA MWANAUME ALIYEDAIWA KUWA SHOGA


Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa ameongozana na ‘mwaume  aliyekuwa  amevaa  nguo  za  kike’.

Tukio hilo lilijiri maeneo ya Kariakoo, Dar wiki iliyopita ambapo vijana hao walianza kwa kuzomea wakitaka kumshika mwanaume huyo waliyedai alikuwa amevaa nguo za jinsia ya kike.
 
Alichokifanya Khadija ni kuingia kwenye gari na kumwambia dereva aondoke haraka kukwepa kufanyiwa vurugu huku mwanaume huyo naye akiungana na malkia huyo kuondoka eneo hilo.

Wakizungumza na GPL, vijana hao walidai kuwa Khadija alijiabisha kwa kuongozana na mwanaume huyo.
 
Khadija aliiambia GPL kuwa alishangazwa na tukio hilo lililomkuta na kusema kuwa mwanaume aliyeongozana naye ni mwimbaji mwenzake ambaye pia ni shemeji yake.
 
Alifunguka: “Hivi kuwa mwimba taarabu wa kiume ndiyo ushoga jamani? Au kuvaa kaptura ya kitenge ni tatizo? Mbona alikuwa amevaa mavazi mazuri tu ya kiume?”

Khadija alisema kuwa amewazoea mashabiki wake wa Kariakoo kwani huwa wakiwaona mastaa huwa na tabia hiyo na ndiyo maana walianza uzushi huku wakisema kuwa waimba taarabu wote ni wanawake, kitu ambacho si kweli.
  
“Sikuona sababu ya kuchukua hatua, nilikuwa najaribu kuwaelewesha lakini hawakunielewa, wakazidi kuzomea na kutuzingira ndiyo maana tuliamua kuondoka,” alisema Khadija.

-Gpl

Kauli ya Ben Pol mara baada ya Washindi wa EBSS mwaka jana na mwaka huu wote kutumia Nyimbo zake na Kunyakua mamilioni.



Mwaka jana katika mahindano ya BSS mshindi Walter Chilambo alitumia wimbo wa nikikupata wa Ben Pol na kuibuka mshindi katika shindano hilo.. Mwaka huu tena mshiliki aliyeshinda kinyang'anyilo hicho (Emmanuel Msuya) Alitumia tena wimbo wa Ben Pol  na ukampa alama za juu na kufanya ashinde. Kutokana na hatua hiyo soma alichokiandika Ben Pol na jinsi anavyojisikia kwa sasa.


WELCOME TO CCM KAKA ZITTO..MANGE KIMAMBI


"So what do you think?

Zitto na wenzie wataunda chama chao au wataingia kile chama kizuuuuuuuuuuuuuuriiiiiiiiiiii

kinachoitwa CCM?

Im guessing anakuja CCM ,,,,

With Zitto ndani ya nyumba, CCM itazidi pata nguvu, come 2015 ushindi utakuwa wa kishindoooo,,,,


WELCOME TO CCM KAKA ZITTO.....

By the way sijaelewa hili sakata la kwamba mtu mwingine keshapewa nafasi yake huko CHADEMA

Although yeye Zitto mwenyewe bado hajapewa barua ya kuenguliwa.........

mnaojua siasa kiundani tuchambulieni hili....." Mange