
Serikali ya kenya ya pinga tabia chafu zinazoendelea maeneo ya sarehe nyakati za usiku kwani ni kinyume cha maadili. Pia wananchi wameungana na serikali yao kupambana na machangudoa kwani ndio chanzo pia cha tabia nyingine chafu nyakati hizo za usiku
No comments:
Post a Comment