IRENE UWOYA AKIMBIZWA HOSPITAL BAADA YA KUDONDOKA NA KUPOTEZA FAHAMU KATIKA MSIBA WA RECHO HAULE JANA
Msanii wa filamu Irene Uwoya amekimbizwa hosipital nchana huu (May 29) baada ya kupoteza fahamu ghafla leaders club katika hatua za kuaga mwili wa msanii mwezake Rachel Haule aliyefariki juzi.
No comments:
Post a Comment