Ikiwa ni siku ya April 7 aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie marehemu Steven Kanumba ametimuza miaka 2 tangu kifo chake kutokea. Lulu (Elizabeth Michael) Aliyekuwa mpenzi wake ametumia siku ya leo kwa kuandika ujumbe wa kumkumbuka marehemu Kanumba.
“Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu”
No comments:
Post a Comment