Ngoja nikuambie rafiki yangu Uwazi unasaidia sana kwenye maswala yamapenzi. kutokuwa muwazi huwa kuna waletea shida sana watu, wakati mwengine hushindwa hata kufurahia mapenzi yao kujikuta wakati mwengine hata kutofika kabisa kileleni.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFmlzAndWhRGuOnNxWhUMIIvPJPKjdt5uamYfghWuOLN9WF-v0LbAuPuIvXRC_wSdcNN29FI3PKp-2fp3MZlJc-VafcGXFqF9Ncd48M_ALjHpiWJPU4RWFFsaApinwfIUm4JK4CL137ww/s640/224062_425670440820497_1037026934_n.jpg)
Mnashindwa kuelewa kuwa wenza wenu sio malaika kwamba ataota tu ni nini unapenda. Ni vizuri kusema na ufurahie mahusiano yako.
BAKI NJIA KUU..!!
No comments:
Post a Comment