Ulimwengu wa mastaa ni vituko kila siku Latest gossip ni kuhusu picha mpya hizi za Star mkubwa wa filamu nchini Irene Uwoya akidaiwa kumshika maeneo yaleee a.k.a nyeti na star mwenzake wa filamu Haji Adam(Baba Haji).Tukio hilo lilitokea juzi katika kuhitimisha miaka mitatu ya kundi la Bongo Movie Unity, Inasemekana Uwoya alikuwa anataniana na Baba Haji na kamera kuchukua picha.Lakini ukiangalia kwa makini hizo picha wewe mwenyewe unaweza weka neno hapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment