
Dakika chache zilizopita ,imefanyika show
kubwa ya Kuzindua kichupa kipya,cha Dada angu mpenzi,Queen Darlin,WANATETEMEKA..show imefanyika
ndani ya ukumbi wa Billz posta. ambapo
mimi pia nilifanya suprise ya kumsapoti
dada angu stejini..kama ulikosa hizi ni baadhi ya picha...!!!


Mimi,Halima kimwana na Shetta tukifanya "UKODAKI "Nje ya ukumbi dakika chache kabla ya show..

Shetta nae alikuwepo,hapa akitaniana na Queen Darlin

Backstage nikisalimiana na dada angu,Queen Darlin

kazi ikaanza


Nikafanya suprise kama hivi

No comments:
Post a Comment