NAIBU WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA MWIGULU NCHEMBA AKIMTEMBELEA DEREVA WAKE ALIYEPIGWA WANAOZANIWA NI WAFUASI WA CHADEMA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE KALENGA JUZI!!
DEREVA WA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM (BARA), MWIGULU NCHEMBA, MOHAMED KUNAMBI, AMESHAMBULIWA NA KUJERUHIWA NA WATU WANAODHANIWA KUWA WAFUASI WA CHAMA CHA CHADEMA.
No comments:
Post a Comment