The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Ads 468x60px
Monday, January 20, 2014
DUNIA INA MAMBO...MFAHAMU SISTA ALIYEPATA MIMBA NA KUUSHANGAZA ULIMWENGU HIVI KARIBUNI...
Inaelezwa kwamba sister aliyezungushiwa duara anae kwenda kwa jina la Roxana Rodriguez ndo yule aliyejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kumuita Francis. Sister huyu ameuushangaza ulimwengu pamoja na masister wenzake kwa kudai kwamba hakujua kwamba ni mjamzito. Dah bora tu waruhusiwe kuolewa.
No comments:
Post a Comment