The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Ads 468x60px
Sunday, December 22, 2013
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA SOLOTHANG NA FAMILIA YA MZEE KONDO KWA KUFIWA..
Alvin collections inatoa salamu za rambirambi kwa familia ya Solothang na ukoo mzima wa mzee Kondo kwa kufiwa na kipenzi cheo dada yetu mpendwa Rehema Kondo,Rehema ni dada wa msanii maarufu Tanzania Solothang aka Ulamaa..Mungu amlaze mahali pema peponi dada yetu mpendwa Amin..
No comments:
Post a Comment