MNAMO TAREHE 07.12.2013 NDUGU YANGU LAWRENCE MWANAHARAKATI ALIBAHATIKA KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA MUDA MREFU LUCY JOHN BARASHIKWA..NDOA ILIFUNGWA KATIKA KANISA LA TAG BUGURUNI NA SHEREHE MAALUMU KUFANYIA UKUMBI WA RIVERSIDE SOCIAL HALL..AC NA STAFF WAKE WOTE WANAWATAKIA MAISHA MEMA NA MBARIKIWE
No comments:
Post a Comment