Baadhi ya mabasi yaliyokamatwa kwa makosa ya kuzidisha nauli aliamuru kurudishiwa nauli zilizozidi kwa abiria wao,zoezi hilo limefanyika alfajiri eneo la Visiga mkoa wa Pwani,kurudishiwa nauli kwa abiria kumeenda sambamba na faini ya shilingi laki mbili na nusu kwa kila basi lililofanya kosa hilo.
The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed Contacts:husseinngenje@yahoo.com +79264327067
Pages
▼
Wednesday, December 25, 2013
MWAKEMBE NOMA:AFANYA UKAGUZI WA MABASI YA MIKOANI KUONA KAMA WAMEZIDISHA NAULI MSIMU HUU WA SIKUKUU
Baadhi ya mabasi yaliyokamatwa kwa makosa ya kuzidisha nauli aliamuru kurudishiwa nauli zilizozidi kwa abiria wao,zoezi hilo limefanyika alfajiri eneo la Visiga mkoa wa Pwani,kurudishiwa nauli kwa abiria kumeenda sambamba na faini ya shilingi laki mbili na nusu kwa kila basi lililofanya kosa hilo.
No comments:
Post a Comment