aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, November 15, 2013

HUYU NDO MSANII WA MUZIKI KUTOKA BONGO ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA..!!

Madawa ya kulevya ni noma sana, yamesababisha vijana wengi wenye tamaa kuishia kunyongwa au wengine wapo sero mpaka leo. Habari zilizotufikia Bongoclan ni kua msanii kutoka kundi la Akudo Impact maarufu kamaCANAL TOP kakamatwa china akiwa na sembe AKA UNGA akaMADAWA YA KULEVYA. Sasa bado hatujajua kesi yake inaendaje but mashushu wetu chna watalifanyia hilo kazi na kuja na majibu sahihi ambayo tutawaletea wasomaji wetu
Canal Top wa kwanza kushoto

No comments:

Post a Comment