Ammy Nando ambaye alituwakilisha mwaka huu katika shindano la Big Brother Africa, The Chase amepata nafasi ya kutuwakilisha tena katika shindano hilo hapo mwakani 2014. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika katika Ofisi za Multi Choice Tanzania zimethibitisha hilo. Nando alikuwa disqualified na kutolewa katika shindano hilo mwaka huu baada ya kugombana na kutishia kumchoma kisu mshiriki kutoka Ghana anayejulikana kama Elikem. Sasa sijui jamaa kajirekebisha na hataleta fujo tena???? Habari za uhakika zinathibitisha kuwa Nando amekubali ofa hiyo na yuko tayari kwenda kuipeperusha bendera ya Tanzania tena.......
The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed Contacts:husseinngenje@yahoo.com +79264327067
Pages
▼
Thursday, October 24, 2013
NANDO ACHAGULIWA KURUDI TENA MJENGONI KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER MWAKANI.....
Ammy Nando ambaye alituwakilisha mwaka huu katika shindano la Big Brother Africa, The Chase amepata nafasi ya kutuwakilisha tena katika shindano hilo hapo mwakani 2014. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika katika Ofisi za Multi Choice Tanzania zimethibitisha hilo. Nando alikuwa disqualified na kutolewa katika shindano hilo mwaka huu baada ya kugombana na kutishia kumchoma kisu mshiriki kutoka Ghana anayejulikana kama Elikem. Sasa sijui jamaa kajirekebisha na hataleta fujo tena???? Habari za uhakika zinathibitisha kuwa Nando amekubali ofa hiyo na yuko tayari kwenda kuipeperusha bendera ya Tanzania tena.......
No comments:
Post a Comment