![]() |
Julius Nyaisanga a.k.a Anko J (katikati) akiwa katika picha ya pamoja
na Mkongwe Mwenzie,Aboubakar Liongo pamoja na Mie (upande wa kulia)
|
HABARI zilizotufikia kutoka mkoani Morogoro ni kwamba Mtangazaji Mkongwe nchini, Julius Nyaisangah 'Uncle J' ameaga dunia. Mpaka mauti yanamfika, Marehemu Nyaisangah alikuwa Mhariri Mtendaji wa Abood Media iliyopo mkoani Morogoro.
![]() |
Marehemu Julius Nyaisangah (katikati) akiwa katika pozi na Meneja Mkuu wa GPL Abdallah Mrisho (kushoto) |
source:gumzo la jiji
No comments:
Post a Comment