The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Pages
▼
Tuesday, October 29, 2013
AJALI: DEREVA WA BODABODA AMGONGA MAMA MJAMZITO HUKO KIGOGO LUHANGA....DEREVA BODABODA AZIMIA PAPO HAPO....!!
Wasamaria wema wakimpepea.
...Akiwa hoi.
Akisogezwa pembeni ya barabara.
Dereva wa bodaboda akiwa amezimika.
Dereva wa bodaboda aina ya Bajaj Boxer yenye namba za usajili T 344 CDJ ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja muda si mrefu amepata ajali na kuzirai baada ya kumgonga mama mjamzito aliyekuwa akikatisha barabara eneo la Kigogo Luhanga bodaboda jijini Dar es Salaam. Mama huyo anayedaiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo alitoka mbio baada ya msala huo.
No comments:
Post a Comment