The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Pages
▼
Sunday, September 22, 2013
TAZAMA PICHA JINSI UWANJA WA NDEGE WA DAR ES SALAAM UTAVYOKUWA WA KISASA NA WAKUVUTIA MNO...!!
Pamoja na kuzipata hizi picha kuna maswali unaweza kuwa nayo ikiwemo Idadi ya ndege zitakazoweza kuhudumiwa kwenye uwanja huu mpya? utamalizika lini? gharama yake na mengine… Naambiwa ujenzi wa huu uwanja unaambatana na ujenzi wa viwanja vingine katika baadhi ya mikoa ya Tanzania ikiwemo 87.8 Mbeya, 88.1 Mwanza na 89.2 Kigoma. SOURCE: MILLADAYO.COM
No comments:
Post a Comment