 |
Mpigapicha wa New Habari Anthony Siyame akidhalilishwa na askari wa Idara ya Usalama wa Taifa wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu wa Thailand, Yungluck Shinawatra baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam Julai 30 2013.
(Picha kwa hisani ya Selemani Mpochi)
|
Cha ajabu ni kwamba wakati mpigapicha huyo akifanyiwa visa na kushindwa kufanya kazi yake kwa utulivu wanahabari wengine wa kigeni walipewa ushirikiano mzuri na kufanya kazi yao bila bughuza kabisa.
No comments:
Post a Comment