HUU NI UNYAMA
Hivi kumchoma mwizi unadhani ndiyo solution kwa kile ulichopoteza? Maandiko yanasema usihukumu maana na wewe utahukumiwa. Watu wengi wanajiingiza kwenye wizi si kwa kupenda ila kwa misukumo tu ya maisha, busara zaidi inaitajika kwa watu hawa.
No comments:
Post a Comment