Alvin Collections

The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed Contacts:husseinngenje@yahoo.com +79264327067

Pages

▼

Thursday, September 5, 2013

Shindano Jipya la Tanzania Top Model lazinduliwa Jijini Dar Es Salaam

Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania TOP Model Jackson Kalikumtima akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge.

Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam jana na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi, Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania Top Model, na kulia ni Bw. Khamsin.
 






Wanamitindo hao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo.

Wadau wakipata pichaWadau mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huoMC Duble A akifafanua jambo kabla ya Asia Idarous kuzindua shindano hiloBaadhi ya wanakamati wakijitambulishaWadau wakifuatilia

Wadau wakifuatilia matukio katika uzinduzi huo.
 PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE 
Unknown at 2:13 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.