aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, February 28, 2014

Uamsho Wapata dhamana baada ya Kusota Rumande kwa Mwaka Mmoja.

RUMANDE
Baada ya kusota rumande kwa takribani mwaka mmoja na miezi minne, viongozi 10 wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Uamsho) jana waliachiwa kwa dhamana yenye masharti nafuu na kujumuika na familia zao.
Awali, viongozi hao walishindwa kutimiza masharti waliyopewa na mahakama ambayo yaliwataka kutoa fedha taslim Sh. milioni 25, kuwa na wadhamini watatu wakiwa ni watumishi wa serikali wenye mali isiyo hamishika ya Sh. milioni 25 pamoja na kutosafari nje ya kisiwa cha Unguja.
Hata hivyo, baada ya kilio cha washtakiwa hao wakiongozawa na mawakili wao Juma Abdallah na Salum Taufik, Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar,  Fatma Hamid Mahmoud, jana alipunguza masharti ya dhamana baada ya washtakiwa hao ambao wamekuwa wakishikiliwa rumande kwa zaidi ya mwaka mmoja na miezi minne kuanzia Oktoba 17, mwaka 2012, kulalamika kwamba masharti ya dhamana ni magumu.
Jaji huyo alikubali kila mshtakiwa kujidhamini kwa Sh. milioni 25 kwa maandishi sambamba na kuwa na wadhamini wawili badala ya watatu huku mmoja kati ya hao awe mtumishi serikali.
Kadhalika, Jaji Fatma aliwaruhusu washtakiwa hao kusafiri kwenda Pemba, lakini masharti ya kutosafiri nje ya Zanzibar pamoja na kutofanya mihadhara miskitini na nje ya misikiti yanaendelea hadi kesi ya msingi itakapoanzwa kusikilizwa.
Washtakiwa hao ni Majaliwa Fikirini Majaliwa, Faridi Hadi Ahmed, Mselem Ali Mselem, Mussa Juma Mussa, Azani Khalid Hamdani, Suleiman Juma Suleiman,  Khamis Ali Suleiman, Hassan Bakari Suleiman, Gharib Ahmed Juma na Abdallah Said.
Washitakiwa hao walishtakiwa kwa makosa ya kufanya uchochezi, ushawishi, kuhamasisha fujo na kula njama ya kufanya kosa kulikosababisha uvunjifu wa amani na usalama wa taifa Oktoba, 2011.

Jaji Fatma alisema watuhumiwa hao wameshakaa rumande kwa muda mrefu, hivyo mahakama imetafakari na kuona kuwa dhamana ni haki ya kila mshtakiwa ambaye kosa lake linastahiki kupewa dhamana.

“Endapo mshtakiwa atakaa rumande kwa muda wa miezi minne bila ya kesi kutokuwa na ushahidi, mahakama ina uwezo wa kuifuta kesi na siyo halali kumuadhibu mtu kwa kumuweka rumande bila ya ushahidi,” alisema Jaji Fatma.
Aliwataka washtakiwa hao kuhakikisha wanalinda amani na usalama wa nchi na kwamba ikiwa watakiuka masharti hayo, mahakama itafuta dhamana waliyopewa.

 Jaji Fatma aliahirisha kesi hiyo hadi Machi 27, mwaka huu.

“Madawa ya Kulevya na Bangi sasa Basi”….Banza Stone

banza
  Mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefunguka mazito juu ya matumizi mabaya ya bangi na madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja na jinsi alivyokuwa akiyatumia.
 
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mtu Kati cha Global TV  mwanzoni mwa wiki hii, Banza alikiri kutumia madawa ya kulevya na kusema; “Nilianza kuvuta sigara ya kawaida, nikaja bangi na baadaye madawa ya kulevya aina ya Heroin ambapo alikuwa akiyatumia kwa kuchanganya na sigara au bangi.
 
“Ujana ulisababisha nikajiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya ila sasa nimeacha kabisa na nawashauri vijana wenzangu kuwa mbali na kilevi hicho kwani kama huna kipato cha kutosha unaweza kugeuka kibaka maana mwili ukizoea ni vigumu kuacha.”


CREDIT: GPL

Aibu! Njemba Anaswa na Mke wa Rafiki yake Gesti…!!

NJEMBA1
MAANDIKO yanasema ‘usitamani mali ya mtu mwigine’! Ni kweli kabisa, onyo hilo lilichukua fursa yake kufuatia njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Anton John Mwaweje kunaswa laivu gesti na mke wa rafiki yake aliyefahamika kwa jina moja la Chalz.
Mke wa mtu sumu: Anton John Mwaweje baada ya kunaswa akiwa na mke wa rafiki yake gesti.
Tukio hilo lilijiri mwanzoni mwa wiki hii kwenye gesti moja maarufu (jina tunalo) iliyopo Buguruni- Malapa jijini Dar es Salaam.
Katika sakata hilo ilidaiwa kuwa, Mwaweje alikuwa akiifahamu vyema familia ya Chalz sambamba na mke wake (jina lipo) lakini hilo hakulijali na kumtokia mke wa Chalz ambaye kwa utamaduni wa Kiafrika ni shemejiye.
Mshangao: Anton John akishangaa baada ya kuba
Habari zikazidi kudai kwamba, ilifika mahali katika kumtaka shemejiye huyo ambaye alikuwa akimkatalia katakata, Mwaweje alitumia gia nyingine ikiwemo ya kumuahidi mambo manono kama angekubali kuivunja amri ya 6 ya Muumba na yeye.
Chanzo cha habari kiliendelea kudai kuwa,  ‘Mungu si Athuman wa Lucas’ siku isiyo na jina jamaa alimtumia ujumbe (SMS) mke wa mwenzake kwa kutumia maneno ya kumtoa nyoka pangoni kumbe muda huo bwana simu alikuwa nayo mwenye mke.
Misosi na mitungi: Baadhi ya misosi na vinywaji vilivyokutwa chumbani humo.
Chalz alimwita mkewe na kumuuliza ni nani aliyemtumia ujumbe huo? Ndipo mke akaanika ukweli akisema:
“Mume wangu, wala usikonde. Aliyetuma ujumbe huo si mwingine, ni Anton…”
Mume:  “(akihamaki) Anton huyuhuyu?”
Mke: “Huyuhuyu mume wangu. Amekuwa akinitaka kimapenzi kwa muda mrefu sana, namkatalia lakini hasikii.”
Za mwizi 40: Bwana Anton John akiwa na pingu mkononi baada ya kunaswa na kamanda wa OFM pamoja na wanausalama.
Pia, mwanamke huyo alimwonesha mumewe meseji kibao ambazo jamaa huyo amekuwa akimtumia na zile ambazo yeye amekuwa akimkatalia.
“Sasa sikia, mkubalie,” mwanaume huyo alimwambia mke wake huku midomo ikimcheza kwa hasira.
Chini ya usimamizi wa mumewe, mwanamke huyo aliwasiliana na Anton na kumwambia alikuwa na nafasi wanaweza kukutana kwa ajili ya kumsaliti Chalz.
Baada ya kupanga mipango ya kukutana, mume huyo alipiga simu Global Publishers kwenye kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) na kuomba msaada wa fumanizi ambapo alibahatika kukuta kuna kamera mpya zimewasi tayari kwa kazi kama hizo.
Baada ya kupata maelezo ya Chalz, OFM ilishirikiana na Jeshi la Polisi Buguruni –Kwamnyamani jijini Dar na kuandaa mtego ambapo Jumatatu iliyopita, saa nane na ushee mchana, Anton ambaye naye inasemekana ana mke aliuingia mtego na kunasa kwenye chumba namba 5 akiwa na mke mwema huyo.
Ndani ya chumba hicho, Anton alikutwa na boksa  tayari kwa mlo wa wizi ambao alibakia kuendelea kusikia njaa. Mezani, kulikuwa na chipsi kuku na pombe ambazo zingewapa stimu kabla ya mchezo.
Kitendo cha Chalz kumnasa jamaa huyo na mkewe kitandani kilimpandisha munkari ambapo nusura afanye ndivyo sivyo lakini alitulizwa na polisi waliokuwa eneo hilo kwa ajili kulinda usalama.
Kilichofuata baada ya hapo, mgoni huyo akiwa na pingu mkononi alipelekwa kwenye kituo hicho cha polisi ambapo awali, Chalz alitoa ripoti ya malalamiko baada ya kugundua  jamaa huyo anataka kumtumbukiza mkewe kwenye mstari wa usaliti.
Mpaka OFM wanaondoka kituoni hapo, taratibu za kisheria kuhusiana na kesi hiyo zilikuwa zikiendelea huku mgoni huyo akiwa chini ya ulinzi mkali.
Credit: Global TV Online

“Nafurahia sana PENZI la mwanaume mweusi, Weupe sina Mpango nao”..Wema Sepetu

wedi
Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali  amefunguka  na  kudai kuwa yeye mzuka wake   kimapenzi  upo kwa wanaume weusi  na sio wanaume weupe.
Kupitia kipindi cha Leo tena February 28,  Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za mwanaume anayempenda kuwa na mvuto kwake,swali lililoulizwa na Watangazaji wa kipindi hicho ni kuhusu mwanaume wa sifa gani anayedhani anaweza kuolewa nae ambapo Wema alijibu “Kuolewa sio shida je huyo mwanaume nampenda,maana naweza kuja kuchumbiwa lakini nisimpende”
“Mimi nampenda Mwanaume mweusi,wanaume weupe sio kwamba sijawahi kuwa nao lakini nakuwa sina mzuka nao”.
sepetu
Alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond amekiri kwa kusema’Kweli niko na Nasib – Diamond na nadhani muda huu kutakua na utulivu ndani yake,ule utoto tuliokua tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka mwaka 2010 kwa hiyo tuna ni miaka 4 sasa,kwa sasa tumeamua kuwa serious’.

AINA 15 ZA MUONEKANO WA SURA KWA AKINA DADA WAKATI WA KU-DO-, YAKO AU YA MPENZI WAKO INAFANANAJE?

sex-face-large-prf-1151532165


10000018906_2516783538

Face-of-Orgasm-728


vlcsnap-2013-01-17-21h12m39s207


Face-of-Orgasm-730


Face-of-Orgasm-732


images76


images-146


m48hw


n5

peaches



vaginismus




A7HGmKTCEAEJ27b




11

ONGEZA UFAHAMU WAKO KATIKA MAMBO 12 KUHUSU MAHUSIANO KIMAPENZI








































(18+ YRS)- HIZI NI STYLE 10 BORA KWA WANANDOA(OKOA NDOA YAKO)

0aa7e1ceea7653b4ef626f8de1632d3c-8-positions-for-sex-at-your-parents

0b2e159527ac337417bb0a9744cb996a-7-positions-for-sex-at-your-parents-place



1dc25ebe33f0e173e531c5c972ef95a1-8-positions-for-sex-at-your-parents (1)



4e6007cbe2a63342d0d34ea8847b0fe3-8-positions-for-sex-at-your-parents

5fc89ee45f8a9ab0580dc7de21ff3e9e-8-positions-for-sex-at-your-parents


15139e77abf85c9ec8d0386cd6bd5f20-8-positions-for-sex-at-your-parents


b20f3d5ed21b786ebab651c7c8cb88d4-8-positions-for-sex-at-your-parents



bd49428475eaa873e3ca59178ad2b7b7-8-positions-for-sex-at-your-parents


sex_positions


sex-outdoors-main_0

FAHAMU: KINACHOTOKEA BABA & MAMA WANAPOACHANA



“Nilikuwa nyumbani pamoja na Mama siku ambayo Baba alituacha. Nilikuwa na umri wa miaka sita tu, kwa hiyo sikuelewa kilichokuwa kikiendelea. Nilikuwa nimeketi kwenye sakafu nikitazama televisheni. Mama alikuwa akilia na kumsihi Baba asiondoke. Baba alishuka ngazi akiwa na sanduku, akapiga magoti nilipokuwa, akanibusu, na kusema, ‘Baba anakupenda sikuzote.’ Kisha akaondoka. Sikumwona tena kwa muda mrefu. Tangu wakati huo, nimekuwa na wasiwasi kwamba Mama ataniacha pia.”— Magreth

WAZAZI wako wanapotalikiana, huenda ikaonekana kwako kama mwisho wa ulimwengu, msiba mkubwa unaofuatwa na maisha ya taabu isiyo na mwisho. Mara nyingi mtu hulemewa na hisia kama vile aibu, hasira, wasiwasi, hofu ya kuachwa, hatia, kushuka moyo, na hasara kubwa—hata tamaa ya kulipa kisasi.



Kwa Nini Wazazi Huachana?
 
Mara nyingi, watoto hushangaa wazazi wao wanapoachana kwa sababu wazazi huwaficha matatizo yao. “Sikuamini macho yangu,” asema Rachel, aliyekuwa na umri wa miaka 15 wazazi wake walipotalikiana. “Sikuzote nilidhani wanapendana.” Hata wazazi wanapogombana mara kwa mara, huenda bado ikawa hali yenye kushangaza na kuhuzunisha wanapoachana!
  • Katika visa vingi, wazazi huachana kwa sababu mmoja wa wazazi amejihusisha katika mwenendo mpotovu kingono.
  • Katika hali nyingine, “ghadhabu na kupiga kelele na matukano” yametokeza jeuri, na kumfanya mzazi mmoja ahofie usalama wake na wa watoto wake.
 
Ni kweli kwamba ndoa nyingi huvunjika pasipo misingi halali. Badala ya kutatua matatizo, watu fulani huonyesha ubinafsi kwa kutafuta talaka eti kwa sababu “hawana furaha” au “hawapendani tena.” Vyovyote vile, kwa kuwa tu wazazi wako wameamua kutosema lolote au kutokupa majibu yaliyo wazi kuhusu talaka haimaanishi kwamba hawakupendi. Wakiwa wamelemewa na uchungu wao wenyewe, huenda wazazi wako wakaona vigumu kuongea juu ya talaka. Huenda pia wakaona aibu kukubali udhaifu wao.
 
Unaloweza Kufanya
  • Tambua kinachokutia wasiwasi. Kwa kuwa talaka hubadili karibu kila kitu maishani mwako, huenda ukajikuta ukiwa na wasiwasi kuhusu mambo ambayo mwanzoni uliyapuuza. Hata hivyo, unaweza kupunguza wasiwasi wako kwa kutambua ni nini hasa kinachokutia wasiwasi. Je ni moja ya mambo yafuatayo? 
                                    Mzazi aliyebaki ataniacha pia.
                                     Familia yetu haitakuwa na pesa za kutosha za kujiruzuku.
                                     Nimechangia talaka hiyo kwa njia fulani.
                                     Nikifunga ndoa, ndoa yangu pia itavunjika.
                                     Mambo mengine ․․․․․...............................
  • Zungumza kuhusu mahangaiko yako. Jaribu kutafuta wakati unaofaa wa kuzungumza pamoja na wazazi wako kuhusu mambo yanayokuhangaisha. Waambie jinsi ulivyo na huzuni na ulivyovurugika. Huenda watakuambia kinachoendelea na kukupunguzia mahangaiko yako. Ikiwa wazazi wako hawataki au hawawezi kukutegemeza kwa sasa, unaweza kuzungumza na rafiki mkomavu. Chukua hatua ya kwanza ili kuzungumza na rafiki huyo. Kuwa na mtu anayeweza kukusikiliza kwaweza kukufariji kwelikweli.
 
Mambo ya Kuepuka
  • Usiwe na kinyongo. “Wazazi wangu walikuwa na ubinafsi,” asema Zainab, aliyenukuliwa awali. “Hawakutufikiria wala kufikiria hatua waliyochukua ingekuwa na matokeo gani kwetu.” Inaeleweka ni kwa nini Zainab angehisi hivyo, na huenda ni kweli. Hata hivyo, ungejibuje maswali yafuatayo?  Ni madhara gani yanayoweza kutokea ikiwa Zainab angeamua kuweka kinyongo na kukasirika daima? Ijapokuwa si rahisi, kwa nini ingefaa Zainab ajaribu kuwasamehe wazazi wake kwa sababu ya uchungu ambao wamemsababishia? ․․․․․
  • Epuka mazoea yanayoweza kukudhuru. “Sikuwa na furaha, nami nilikuwa nimeshuka moyo wazazi wangu walipotalikiana,” akumbuka Zainab. “Nilianza kupata matatizo shuleni nami nikaanguka mwaka mmoja. Kisha . . . nikawa mtukutu darasani na kuanza kupigana-pigana.” Unafikiri Zainab alikuwa akijaribu kutimiza nini kwa kuwa mtukutu darasani? ․․․․․Ni kwa nini alianza kupigana-pigana? ․․․․․
Je unataka kuwaadhibu wazazi wako kwa kuwa na mwenendo usiofaa? itakusaidia nini? 
 
 
Mambo Unayoweza Kutazamia Wakati Ujao
 
Jeraha halisi, kama vile kuvunjika kwa mfupa, laweza kuchukua majuma au hata miezi kabla ya kupona kabisa. Vivyo hivyo, majeraha ya kihisia yanaweza kuchukua muda mrefu kabla ya kupona. Wataalamu fulani wanahisi kwamba majeraha mabaya ya talaka yanaweza kupona kwa miaka mitatu. Huenda huo ukaonekana kuwa muda mrefu, lakini kumbuka, lazima mengi yatendeke kabla hujarudia hali yako ya kawaida.
Kwanza, mazoea ya kawaida nyumbani ambayo yamevurugwa na talaka lazima yapangwe upya. Pia itachukua muda kabla wazazi wako hawajapata usawaziko kihisia. Kisha, ndipo wanapoweza kukutegemeza wewe ifaavyo. Hata hivyo, kadiri mambo yanavyorudia hali ya kawaida, ndivyo utakavyoanza kutulia tena.

NANI WA KUIKOMBOA TANZANIA? TAZAMA PICHA HIZI UONE UHALISIA WA MAISHA YA WATANZANIA WALIOWENGI !!!