aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, October 31, 2013

JAMBAZI SUGU ANASWA SIMIYU

Silaha zilizokamatwa.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu Salum Msangi.
  
Silaha zilizokamatwa za kisasa na za kienyeji.

Shehena ya risasi zilizo kamatwa.

Silaha zilizotengenezwa kienyeji.

OPERESHENI Maalumu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu kukabiliana na vitendo vya Ujambazi, Ujangiri wa uwindaji haramu pamoja na wahamiaji haramu umefanikisha kukamatwa kwa silaha 45, zikiwemo za Kivita na 17 za kienyeji na risasi 892 na magazine 24 huku watuhumiwa sugu wa ujambazi na ujangiri wakitiwa mbaroni. 
Akizungumza jana mbele ya waandishi wa Habari ofisini kwake, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu Salum Msangi alisema kuwa opresheni hiyo ilitokana na kuwepo vitendo vya uhalifu katika Wilaya tano za Mkoa huo na kwenye maeneo ya mbalimbai ya Mapori Tengefu ya Uwindaji kwa kipindi cha mwaka moja tangu kuanzishwa kwake Desemba 2012.

Kamanda Msangi alieleza kuwa miongoni mwa silaha hizo 45 na magazine 28 zilikamatwa ni pamoja na SMG 7 risasi 763 na G3 moja ikiwa na risasi zake 35 iliyokuwa ikitumiwa na mwanamke mmoja aliyekamatwa Hollo Mabuga (28) mkazi wa Wilayani Bariadi, silaha nyingine 13 zilisalimishwa kwa hihali na baadhi ya watu waliokuwa wakizimiliki kinyume na sharia,Short-Gun saba, Gobole 17 na SAR moja.
“Tumeweza pia kumkamata mtuhumiwa hatari wa matukio ya uhalifu ambaye hivi karibuni aliachiwa kutoka Gerezani lakini tukapata taarifa za raia wema kuwa amekuwa akijihusisha na ujangiri na ujambazi ambaye ni Masanja Sumuni, tukaweka mtego na kufanikiwa kumkamata akiwa na SMG moja na risasi 96 huku mke wake Hollo Mabuga akikutwa pia na silaha” alisema. 
Kufuatia operesheni hiyo Jeshi hilo pia limefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu wanne katika maeneo ya Wilaya ya meatu huku zaidi ya watu kumi waliokuwa wakijihusisha na ujangiri wakikutwa na nyara za serikali ikiwa niza wanyama waliopo kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Mapori ya Akiba katika Wilaya za Meatu, Maswa na Itilima.
 
“Tumeunda kikosi kazi ambacho pia kinaendelea na operesheni ya kuwakamata wafugaji na mifugo yao ambao wamekuwa wakichungia mifugo ndani ya eneo la Hifadhi ya Serengeti ambapo zaidi ya ng’ombe wengi walikamatwa na kutozwa faini ambapo zaidi ya shilingi milioni 180 zilipatikana huku watu wanaoendesha vitendo vya ujangiri wakiuwa tembo na wamyama na kuuza kwa wananchi wa maeneo ya jirani” alisema Kamanda.
 
Kamanda Msangi amewataka wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kutoa taarifa za siri zitakazowawezesha kuwakamata wahalifu na wahamiaji haramu katika maeneo yote ya Wilaya za Meatu, Maswa, Bariadi, Itilima na Busega huku makakati wa kuanzisha vikosi kazi kila tarafa ukiwa mbioni kukamilika ili kuimalisha ulinzi kwa wananchi na mali zao.


CHANZO CHA HABARI NA G SENGO BLOG

KIONGOZI WA WAASI WA M23 AJISALIMISHA BAADA YA KUZIDIWA KIVITA...!!

 
Kingston wa waasi wa M23 Bertrand Bisiimwa ameripotiwa kusalimu amri kwa jeshi la Uganda.
 
Kiongozi huyo wa waasi alivuka na kuingia nchini Uganda kwenye masururu wa magari mawili huku wanajeshi wa Umoja wa Mataifa na wale wa DRC walipofika kilomita tano kuelekea katika kambi yake ya kijeshi
Mwandishi wa BBC Ignatius Bahizi amesema baada ya kuongea na afisaa mmoja wa usalama eneo la Bunagana alimthibitisha kujisalimisha kwa Bisiimwa akisema kuwa anahojiwa na maafisa wa usalama katika eneo la Bunagana katika mpaka wa Uganda na Congo DRC.
 
Waasi wa M23 mnamo siku ya Jumatatu walitoroka maeneo yao ya vita ikiwemo eneo la Rumangabo baada ya kukabiliwa na mashambulizi kutoka kwa jeshi la UN na sasa inaarifiwa wametorokea msituni.
 
Majeshi yanayopambana na waasi hao yamefanikiwa kuwashinda waasi hao katika miji waliyokuwa wameiteka na sasa kuna matumaini kuwa jeshi la DRC linaweza sasa kusitisha harakati za kundi hilo ambazo zilianza miezi 20 iliyopita na ambazo zimewasababisha maelfu ya watu kutoroka makwao wakikimbilia usalama wao.
 
Kundi hilo limekuwa kikiendeshea harakati zao katika mkoa wa Kivu Kaskazini.
 
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa aliambia baraza la usalama la umoja wa mataifa siku ya jumanne kuwa waasi wa M23 sio tisho tena na kuwa wameshindwa kijeshi baadhi wakikimbilia msituni kutokana na mashambulizi makali kutoka kwa wanajeshi wa muungano wanaokabiliana na waasi hao.
 
Naye msemaji wa UN nchini Uganda amesema kuwa zaidi ya watu 5,000 wametoroka maeneo ya Bunagana kufutaia mapambano makali kati ya waasi na wanajeshi wa DRC.
 

Lucy Beck wa shirika la kuwahudumia wakimbizi alisema Jumatano kuwa idadi hiyo huenda ikaongezeka hadi 10,000 ifikapo siku ya Alhamisi huku mapambano yakichacha katika mpaka wa Uganda na Congo.

HIZI NDIO PICHA ZA NUSU UCHI ZA MSANII WA KENYA ALIYENASWA AKICHEZEWA NYETI ZAKE NA WASANII WENZAKE.

Mmh wimbo la mastaa wetu kuendelea kujishushi hadhi linaendelea kushika kasi kila kukicha huku hakuna sheria zozote zinazochukuliwa dhidi yao.

Msanii nyota toka kiwanda cha bongo movie Edward Tem "Nick" picha zake za utupu zaidi 200 zimenaswa na mtandao huu hatari   zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake.

  wiki kdhaa za nyuma iliwahi kushushiwa picha za fumanizi la msanii huyo dhidi ya msanii wake wa kike ambae alifumaniwa nae maeneo ya Kawe Jijini Dar ambapo sakata hili liliishia kituo cha Polisi Hananasifu baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.

Chanzo chetu kiliendelea kusema kuwa picha hizi za utupu zilipigwa siku nyingi kabla ya hilo fumanizi na zimevuja kutoka kwenye kamera yake mara baada ya kupotea ambapo blog hii ilifanya jitahada za kumtafuta msanii huyo kupitia simu yake ya kiganjani lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana.

Msanii huyo ambae sasa hivi ameachia filamu zake kama Bad Father,The,re ma sons, House Girl na Boss ambapo kati ya filamu hizo moja tu ndiyo iliyopelekwa kampuni ya Pilipili Entertainment ya Bad Father 

 

<PICHA YA KWANZA HII HAPA>>  


<PICHA YA PILI HII HAPA>>

 

<PICHA YA 3 HII HAPA>>

 

<PICHA YA 4 HII HAPA>> 


<PICHA YA 5 HII HAPA>> 


<PICHA YA 6 HII HAPA>> 


<PICHA YA 7 HII HAPA>> 


<PICHA YA 8 HII HAPA>> 


<PICHA YA 9 HII HAPA>> 


<PICHA YA 10 HII HAPA>> 


<<PICHA YA 11 HII HAPA>>

 

<<PICHA YA 12 HII HAPA>>

 

<<PICHA YA 13 HII HAPA>>

 

<<PICHA YA 14 HII HAPA>>

 

<<PICHA YA 15 HII HAPA>>

 

<<PICHA YA 16 HII HAPA>>

 

<<PICHA YA 17HII HAPA>>

 


<<PICHA YA 18 HII HAPA>>

MSIBANI KWA BABA WEMA... LULU ATOA MITUSI MIZITO

Stori: Waandishi Wetu
MSANII nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejikuta akiporomosha mitusi mizito ya nguoni kwenye msiba wa baba wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu, mzee Isaac Abraham Sepetu hali iliyowafanya baadhi ya waombolezaji kumkodolea macho ya mshangao.
Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa msibani kwa marehemu Balozi Sepetu.
Tukio hilo lililotawaliwa na hasira lilijiri Oktoba 28, 2013 kwenye msiba huo uliokuwa ukiombolezwa nyumbani kwa marehemu, Sinza-Mori jijini Dar es Salaam.
KISA NA MKASA
Ilikuwa wakati Lulu akitinga msibani hapo, ghafla alimfuata mmoja wa waandishi wa habari hii na kuanza kumporomoshea matusi hayo kwa kile alichodai kukerwa na habari iliyowahi kuandikwa juu ya kitendo chake cha kula chakula sahani tatu katika hafla moja iliyofanyika hivi karibuni huko Kunduchi Beach Hotel, Dar.
TUJIKUMBUSHE KIDOGO
Katika tukio hilo la awali, Lulu alikuwa mmoja wa waalikwa wa harambee ya kuchangia kansa ya matiti kwa akina mama iliyofanyika kwenye hoteli hiyo.
Wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya wachangiaji wote, Lulu alionekana akirudia kuchukua msosi kwa zaidi ya mara tatu (alikula sahani tatu).
TURUDI MSIBANI
Baadhi ya watu waliokuwa msibani hapo walimshangaa Lulu kwa kuporomosha matusi hayo ya nguoni wakati akijua kuwa yeye ni kioo cha jamii na baadhi ya maneno machafu aliyoyatamka hadharani hayaandikiki gazetini.
MSIKILIZE LULU
“Siwapendi nyinyi waandishi hasa wewe (akamtaja jina). ‘I don’t want your f**** story dude, go to hell with you’re f**** shit,” alisikika Lulu akitamka matusi hayo. (hatuwezi kuyatafsiri kwa sababu za kimaadili).
WAOMBOLEZAJI SASA
Mamia ya waombolezaji waliokuwepo eneo la msiba huo walionesha kushangazwa na kitendo cha binti huyo aliyejipatia umaarufu kutokana na kuigiza kwake.
Baadhi yao walidai hali hiyo haikuwa ya kawaida na huenda alikuwa ‘amepata kiburudisho’ (alikunywa pombe).
“Sasa binti si uende ndani ukakae? Hapa ni msibani halafu wewe unasema maneno kama hayo, huoni kama unasumbua akili za wenzako?” mzee mmoja alisikika akisema wakati Lulu anaondoka.
“Unajua hawa mastaa wa Bongo mimi nimeshawajua kwani nawafuatilia sana, wakiandikwa kwa mazuri meno thelathini na mbili nje, wakiandikwa kwa mabaya timbwili kama hili.
“Hiyo habari anayoilalamikia mimi niliiona kwenye gazeti tena ilikuwa na picha sasa alichokereka ni nini, si kweli au?” alisikika mwombolezaji mwingine.
Mwombolezaji mwingine alisema Lulu anaweza kuwa na hoja lakini inakufa kwa vile kama habari ilimkera alipaswa kumtafuta paparazi huyo kwa wakati wake au afike Ofisi za Global badala ya kujianika hadharani huku akidai siku hizi amebadilika.
KWA NINI ALIKEREKA?
Habari zilizopatikana baadaye zilisema kuwa, Lulu alihamaki kumwona mwandishi huyo aliyeandika habari zake hizo za kula sahani tatu, kwani tangu kutoka kwa stori hiyo amekuwa akitaniwa na mastaa wenzake wakimwambia ‘yeye ni mbaya sana kwenye mechi za ugenini’.
Tafsiri hiyo ni kwamba, Lulu amekuwa akila kupitia kiasi kwenye ‘minuso’ (minuso ni vyakula vya bure kwenye shughuli).
AJITENGA NA BONGO MOVIE
Wakati huohuo, Imelda Mtema anaripoti kuwa, baada ya kufika ndani ya nyumba ya akina Wema, Lulu alionekana kutotaka kujihusisha na baadhi ya wasanii wenzake wa Klabu ya Bongo Movie Unity ambapo alijitenga.
Lulu alijitenga kwa kukaa na mama yake mzazi, Lucresia Karugila na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa.
Wasanii wa Bongo Movie waliokuwepo ambao hawakupata nafasi ya kupiga stori na Lulu kama zamani ni Jacqueline Wolper, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, Jennifer Kyaka ‘Odama’,  Rachel Haule, Kajala Masanja na Eshe Buheti.   
Baadhi ya waombolezaji waliokuwemo walinong’ona kuhusu kitendo cha staa huyo kujitenga wakidai kweli sasa amekua.
 “Mh! Lulu sasa amekua jamani, naona hataki kabisa ushoga na watu, alipofika akasalimia na kwenda kukaa na wazazi wake, ni maajabu,” alisikika akisema mmoja wa waombolezaji ambaye jina lake halikufahamika.
Mwombolezaji mwingine alisikika akisema kuwa mabadiliko yote yanayoonekana kwa Lulu kwa sasa ni kazi ya mama Kanumba.
TUJIKUMBUSHE
Mzee Isaac Sepetu alifariki dunia Oktoba 28, 2013 katika Hospitali ya TMJ, Dar alikokuwa amelazwa kwa matatizo ya kisukari.
MAZISHI YA MZEE SEPETU
Mwili wa marehemu ulitarajiwa kuzikwa jana saa kumi jioni Mjini Zanzibar baada ya kusafirishwa kutoka jijini Dar es Salaam alikofia.
Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu. Amina.
source:gpl

PICHA: HATIMAYE MWANAUME MREFU KULIKO WOTE DUNIANI APATA MKE









"NIMESHINDWANA NA MKE WANGU KWASABABU ZA KIFAMILIA NA WIVU WA MAPENZI..." BOB JUNIOR



Mkali wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa ametambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Bashasha aliyempa shavu Vanesa amesema kuwa ameachana na Mkewe ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa Kiume.

Msanii Bob Junior akifunguka kupitia Kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio amesema kuwa ameachana na mkewe kwa sababu ya wivu wa Mapenzi aliyokuwa nao huyo ambaye alikuwa mkewe ambaye ameweza kumzawadia Bob Junior Mtoto Mmoja wa Kiume.

Bob Junior amefunguka na kusema kuwa wale wote waliosema kuwa alioa ili aweze kupikiwa kipindi cha mfungo si kweli bali wameshindwana na mkewe kwa sababu za Kifamilia na Wivu wa Mapenzi,lakini mkali huyo hajaishia hapo bali amekaribisha Maombi kwa yoyote ambaye atakuwa tayari bali anapaswa kuwa na Tabia njema


-JAMBO TANZANIA

HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA DIAMOND MARA BAADA YA KUHUDHURIA MAZISHI YA BABA MZAZI WA WEMA SEPETU..!!

Ujumbe huo hapo chini unajitosheleza pita ukisoma japo kimya kimya......

ROSE NDAUKA: "SIJAJIBEBEA TU MIMBA HOVYOHOVYO..


Rose Ndauka akiwa na mpenzi wake, Malick Bandawe.
STAA wa sinema za Bongo, Rose Ndauka amesema suala la kubeba mimba ya mpenzi wake, Malick Bandawe kabla ya ndoa halikutokea bila mpangilio, walishauriana kabla. 
Akipiga stori na paparazi wetu, Rose alisema hajutii kubeba mimba hiyo ambayo ameitangaza kwa vile alishauriana na mwandani wake huyo na anamuamini.
“Sijajibebea tu mimba hovyohovyo hata Malick alipogundua hali hii alifurahi sana, ndiyo maana sina presha hata kidogo kwa kuwa sisi ni wapenzi wa muda mrefu na tunaaminiana,” alisema Rose.

DIAMOND LUPANGO MIEZI MIWILI BAADA YA KUGOMBEA DEMU..


 Nasibu Abdul ‘Diamond’.

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amewahi kusota lupango ya Keko, Temeke jijini Dar es Salaam kwa miezi miwili kisa kikiwa ni kugombea demu wa mtu. 
Akizungumza na Amani juzi jijini Dar, Diamond alisema tukio hilo lilimtokea mwaka 2007 akiwa ‘andagraundi’ wa muziki wa kizazi kipya.
Diamond aliyasema hayo kufuatia kuulizwa swali na paparazi wetu kwamba, amerudiana na Miss Tanzania 2006 ambaye pi ni staa wa filamu za Bongo, Wema Sepetu. Je, haogopi kufanyiwa kitu mbaya na jamaa wake ambaye ndiye anayemuweka mjini?
Msikie Diamond: Mimi simwogopi mtu eti kwa sababu natembea na demu wake. Hakuna anayeweza kunifanya lolote lile, najiamini.
“Mwaka elfu mbili na saba niligombea demu na jamaa mmoja pale Tandale (Dar). Matokeo yake jamaa akanikamata na kuniweka Gereza la Keko kwa miezi miwili, nikaachiwa baadaye, kwa hiyo sitishiki,” alisema Diamond.

Hata hivyo, Diamond hakuweka wazi kwamba baada ya kukamatwa alipelekwa kituo gani cha polisi na mahakama gani alipandishwa kabla ya kupelekwa mahabusu ya Keko.

BABU ALIA NJAA...ANASWA AKIMILIKI GESTI BUBU,WATEJA WAKE WAKUBWA NI MACHANGUDOA...


Babu,mmiliki wa gesti
MZEE mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Abdullahimu Mnami (48) amenaswa akiendesha gesti bubu kinyume cha sheria za nchi. 
Tukio hilo lilitokea Oktoba 26, mwaka huu maeneo ya Toangoma jijini Dar, baada ya waandishi wetu kuzinyaka taarifa hizo na kuzifikisha kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo, Chande Mohammed aliyefika eneo hilo na polisi.
Awali, ili kujiridhisha, mmoja wa mapaparazi wetu alijifanya mteja na kufika katika gesti bubu hiyo, kisha kupangisha chumba kwa malazi ya siku moja kwa malipo ya shilingi 3000 tu lakini pasipo kuandikisha mahali popote.

Baadhi ya watu waliokamatwa kwenye msako wa machangudoa
Akizungumza na waandishi wetu mbele ya maaskari na mwenyekiti, mzee huyo alisema alishindwa kuisajili gesti yake kwa kuwa haikuwa na viwango vinavyokubalika na manispaa (ya Temeke).
“Ningefuata utaratibu, manispaa isingeniruhusu kutokana na ubora wa vyumba vyenyewe, kama mnavyoona. Pia njaa tu jamani ndiyo imenifanya nianzishe gesti hii,” alisema mzee Abdullahim.
Hata hivyo mwenyekiti wa mtaa huo, alisema kuwa mzee huyo ana kesi ya kujibu kwa kukiuka taratibu za kibiashara zilizowekwa na halmashauri na kumuamuru aifunge gesti hiyo mara moja huku akiahidi kumpeleka Baraza la Kata kwa ajili ya masikilizano ya awali.
Timu yetu iliwaachia msala wao na kuendelea na oparesheni nyingine ambapo walifanikiwa kuwanasa machangudoa wakijiuza jirani na mtaa huo huku ikielezwa kuwa, wateja wa madadapoa hao hupelekwa katika gesti bubu ya mzee huyo kwa vile ni bei poa.

INASIKITISHA: MTOTO WA MIAKA MINNE AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO CHA JIRANI MKOANI MBEYA


Mwili wa Marehemu Joshua Isaac, 4,  mara baada ya kutolewa kwenye shimo la choo cha jirani alikotumbukia  na kufikwa umati.
 Habari zinasema kwamba juzi marehemu alikuwa anacheza na wenzake kisha akatoweka. 
Wadau mbali mbali wakishuhudia jana hilo

MWIGIZAJI ASHELY TOTO KUTOKA KENYA INASEMEKANA NDIO SABABU MOJA WAPO YA NDOA YA BOB JUNIOR KUVUNJIKA.

 
Ashely Toto in German
Hapa Bob Junior Akiwa Mombasa na Ashley Toto hivi Karibuni
Hapa Bob Junior Akiwa Ujerumani na Dada Ashley Toto
Wakila Raha Ujerumani Frankfurt

Wakiwa Ujerumani Mall Wakifanya Shopping
 
Ashley Toto Ni Msanii wa movies kutoka Kenya ambae makazi yake ni Ujerumani ila kwa sasa yupo Mombasa kwa mapumziko ..Mnyetishaji wa habari ametuhabarisha kuwa wawili hawa wapo mapenzini kwa muda mrefu sana hata alipokuwa Ujerumani Bob Junior huwa anaenda huko kama baadhi ya picha zinavyoosha ..Pia inasemekana kuwa baada ya Mwana Dada huyu kuja Mombasa kwa mapumziko Bob Junior alienda Matembezi huko na Kukaa kwa muda wa week moja akiwa nae na baadae Mwana dada huyo Mrembo alimtafutia Show mbili Huko Mombasa ...Inasemekana ndio Sababu mojawapo ya mke wake kuona wivu wa mapenzi na kuamua kuachana na Bob junior..