aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 11, 2013

VIDEO: Vera Sidika Afafanua maisha yake kama Mhalaiki (socialite)


Socialite au mhalaiki ni jina ambalo limetumika kwa miaka mingi kuashiria mwanamke au mwanamume tajiri au mwenye uwezo ambaye hakosi kuandaa sherehe za mara kwa mara na kuwepo katika sherehe mbalimbali kwa minajili ya kuongeza hadhi ya sherehe hiyo. Katika nchi za kigeni haswa, watu hawa hulipwa kuwepo katika hafla zilizoandaliwa na baadhi yao hupewa heshima kuu. Humu nchini hata hivyo, baadhi ya wasichana wamejipa jina hilo socialite kwa misingi ya picha walizoweka kwenye mtandao, video ambazo wanafanya mambo ya ajabu ajabu ambayo wengi wamekashifu. Je, wanawake hawa wamepoteza maana ya socialite au hawaijui kabisa? Mashirima kapombe anaarifu

No comments:

Post a Comment