aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 7, 2013

SKENDO YA KUMPIGA RIHANNA YAMKERA CHRISS BROWN...ANADAI KACHOKA KUANDIKWA VIBAYA NA ANAFIKIRIA KUACHA MUZIKI..


Chris Brown anafikiria kuachana kabisa na muziki siku za usoni na amesema huenda X ikawa albam yake ya mwisho. 

Breezy ametumia akaunti yake ya Twitter kuelezea kuchoshwa na kuandikwa vibaya kila kukicha kutokana na kosa alilolifanya akiwa na miaka 18 la kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna.

 chris 
Wataalamu wa mambo wanasema Chris Brown ameandika hivyo kutokana na msongo wa mawazo alionao hivi sasa kwasababu anahusishwa sana na mambo ya mahakamani. 


Mtandao mmoja wa huko Marekani umeandika kwamba Chris Brown alikaa jela kwa muda wa dakika 45 kabla ya mambo kukaa sawa na baadae kutolewa. Hizi ni tweet nyingine ambazo aliandika akiwa katika wakati huo mgumu.
 Untitled

No comments:

Post a Comment