Brother Prezzo kwasasa yuko matembezini Marekani ambako anatarajiwa kukutana na Jay - Z kwa mara ya pili.
Wakati wa matembezi hayo alikuwa na shoo ambayo ilipangwa ifanyike kwenye boti huko Dallas,Texas ambayo iligeuka kuwa hasara kubwa, Kwa uvumi uliopo inaonyesha hakuuza kabisa. Watu 30 tu ndo walihudhuria wakati ilikuwa na nafasi ya mamia ya watu.
kulingana na vyanzo huko Dallas,vinaonyesha kuwa Prezoo sio maarufu Marekani kama alivyo maarufu huko Africa mashariki kitu ambacho kinaelezea sababu ya janga hilo.
No comments:
Post a Comment