aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 8, 2013

Neymar alipa milioni 57 zilizotumika kumnunua.



Neymar siku aliyotambulishwa kama mchezaji wa Barca.
Neymar siku aliyotambulishwa kama mchezaji wa Barca.
Kiungo mshambuliaji wa Fc Barcelona Neymar Da Silva Jr amelipa fedha 
ambayo mabingwa hao wa Hispania walitumia kumnunua kabla hata ya
 kuichezea timu hiyo kwenye mchezo wa ushindani .
Barcelona imeshuhudia mauzo ya jezi 570,000 zenye jina la Neymar
 yakilipa euro milioni 57 ambazo Barca ilizilipa kwa klabu ya Santos
 kumnunua star huyo wa Brazil.
Mashabiki wa Barca wakionyesha Jezi ya Neymar.
Mashabiki wa Barca wakionyesha Jezi ya Neymar.
Hadi sasa Barcelona imeuza jezi laki tano na elfu sabini kwa bei ya euro
 mia moja kwa kila jezi hali inayofanya hela iliyotumika kumsajili Neymar 
kurudi haraka kabla hata ya msimu kuanza .
Kwa mahesabu ya haraka haraka jezi 570,000 x Euro 100 inakupa jibu la 
57,000,000 ambayo Barcelona ililipa Santos kumnunua Neymar .
Jezi ya Neymar ambayo hadi leo zaidi ya mashabiki laki tano wameinunua kwa bei ya Euro 100.
Jezi ya Neymar ambayo hadi leo zaidi ya mashabiki laki tano wameinunua kwa bei ya Euro 100.
Hadi sasa Neymar ameiwakilisha Barcelona kwenye mechi mbili pekee akiwa 
amefunga bao moja kwenye mchezo dhidi ya timu ya Thailand na mauzo ya jezi

No comments:

Post a Comment