aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 8, 2013

MWANAMKE APIGWA SHOTI NA KUFARIKI AKIWA ANATUMIA IPHONE 5 ..


Kampuni ya Apple imeanza kufanya uchunguzi baada ya mwanamke mmoja kutoka china akiwa anaitumia huku ikiwa kwenye charge. Mwanamke huyo mwenye jina la Ma Ailun, from the Xinjiang region of China,alipoteza fahamu na kufariki huku akiwa anaitumia simu yake ya iphone 5.

Dada wa marehemu alisema “I want to warn everyone else not to make phone calls when your mobile phone is recharging.”.

Apple said: “We are deeply saddened to learn of this tragic incident and offer our condolences to the Ma family. Tunaendelea na uchunguzi wetu kwa makini huku tukishirikiana na vyombo vya dola”

Police nchini China walesema marehemu “Ma Ailun” alifariki dunia wakati anapokea simu. Kutoka na report za technoligia China ndio watumiaji wa pili wakubwa wa bidhaa za Aplle. Can this incident affect apple’s product business with China?

No comments:

Post a Comment