aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 8, 2013

MMILIKI WA LIVERPOOL ASEMA "KUWAUZIA SUAREZ ARSENAL UTAKUWA NI UPUMBAVU - HAENDI POPOTE DIRISHA HILI LA USAJILI."


Luis Suarez amezidi kupata vizingiti vikubwa katika harakati
 zake za kutaka kuhama Liverpool, baada ya kuambiwa na 
mmiliki wa Liverpool John Henry warning: “Huendi popote”.

Mmiliki huyo wa Liverpool amesema kwamba ni upumbuvu 
kuanza hata kufikiri kufanya biashara na Arsena ya mshambuliaji 
huyo wa Uruguay. Presenting the club’s position on the Suarez saga
the American calmly explained he will refuse to bow to player
 pressure if it damages the interests of the football club in any way.

Na mmarekani huyo amesema kwamba kitendo alichokifanya 
Suarez kilivuka mipaka, huku akisisitiza kwamba mshambuliaji
 huyo hatouzwa kwenda klabu yoyote mpaka dirisha la usajili 
litakapofungwa September 2 - pia akisema uamuzi wa kutokumuuza 
Surez hautokani na masuala ya fedha. Henry alisema: “Hatuwezi 
kumuuza Luis. Ni kwa sababu za kisoka kabisa, na sio masuala ya 
fedha.

“Hii ni kwasababu mpaka sasa ni vigumu kupata mchezaji wa kuziba 
pengo lake kwa maana wachezaji wazuri wote wameshahama. Hivyo
 ni sababu za kisoka, hatuwezi kumuuza - hasa kwa klabu ya Arsenal.

“Kuwauzia mahasimu wetu mchezaji huyu utakuwa ni upumbavu kabisa."

No comments:

Post a Comment