aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 9, 2013

Linah Sanga anatarajia kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye kipindi chake cha TV kiitwacho 3D kupitia Clouds TV.




Akiongea na Bongo5, Linah amesema show hiyo ya watoto itaanza kuoneshwa Jumapili hii. 3D itakuwa ikizunguka mitaani kuzungumza na watoto wenye vipaji mbalimbali vinavyostahili kuendelezwa huku pia akiwasisitiza kusoma.
“Lengo langu ni kuwahamasisha wazazi kwa pande zote mbili kwamba wasiwalemaze watoto wao kwenye vipaji zaidi kuliko kwenye kusoma na kwa upande mwingine waheshimu vipaji ambavyo watoto wao wanavyo,” alisema.

No comments:

Post a Comment