aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 12, 2013

KIM KARDASHIAN AMEKATAA MTOTO WAKE 'NORTH WEST' ASIPIGWE PICHA KWA KIASI CHA DOLA 3000....!!



Kim Kardashian has turned down a $3 million offer for the first picture of daughter North West. Watu wengi wameshangazwa baada ya Kim Kardashiam kuchomoa mtoto wake North West asipigwe picha ya kwanza kwa kiasi cha $ 3Million.
Kanye na Kim walisema hawataki picha za mtoto wao North West zisambae kwenye mitandao. Wachumba hawa wanaonekana wanafata nyao za Jay Z na mchumba wake Beyonce.
Kim Kardashian anamipango ya kutengeneza nguo za watoto baada ya designer wake Lloyd Klein kumwambia biashara hiyo itampa faida nzuri. 

No comments:

Post a Comment