aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 8, 2013

Kenya yapata channel mpya ya TV ambayo wasanii watafaidika nayo kimapato.



Kampuni ya ving’amuzi ya StartTimes Kenya imeanzisha channel mpya inaitwa 

Triple P ambayo itakuwa inahusika na kurusha material ya entertainment tu kutoka
 Kenya kwa masaa 24. Triple P itapewa leseni rasmi na Music Copyright Society 
of Kenya (MCSK) kucheza kazi za wasanii wa Kenya kwenye channel ya Triple P 
ambapo
 leseni hiyo watailipia kila mwaka. Kutokana na kulipia leseni hiyo,
 kampuni ya
 StarTimes pia inakuwa na nafasi ya kutoa na ruhusa au kibali cha wamiliki wa
 maeneo kama supermarket,banks,malls,restaurant na sehemu kama hizo za wazi
 kuonyesha channel hii kwa malipo maalum. Sehemu hizi channel hii itakuwa inaoneka
 kwa jamii nzima bure, ambapo watu wengine watakuwa hawajalipia hiyo channel lakini wanaangalia. Malipo haya maalum kwa wamiliki wa eneo husika yanatokana na sababu 
kama hii.

Mapato haya yote yataweza kuwafikia wasanii kutokana na leseni inayolipiwa kila

 mwaka na kampuni ya Startimes kwenda Music Copyright Society of Kenya (MCSK). 
Triple P itapatikana kwenye package zote za StarTimes

No comments:

Post a Comment