aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 8, 2013

IRENE PAUL ADAIWA KUWA MJAMZITO MWENDO WA NDIMU NA UDOGO KWA KWENDA MBELE

Staa wa filamu za Kibongo,Irene Paul amedaiwa kuwa mjamzito ambapo inasemekana amekuwa akiuficha ujauzito huo ili asipigwe picha na mapaparazi.
Chanzo cha karibu na msanii huyo kinasema kuwa msanii huyo amekuwa akiuficha ujauzito wake na hataki hata watu wake wa karibu wajue bila kutoa sababu za msingi kwanini hataki ajulikana kama ana mimba.

‘sijajua kwanini hataki watu wajue kama ana ujauzito labda anataka watu washtukie tu amejifungua mtoto,lakini ajue yeye ni staa hata afanyeje hawezi kulificha tumbo lake litakapokuwa kubwa’’kilisema chanzo…hicho.

No comments:

Post a Comment