aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 7, 2013

HII NDIO HOTEL ILIYOGUNDULIKA KUUZA NYAMA ZA WATU


Polisi walifanikiwa kuvikamata vichwa hivyo baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi karibu na hoteli hiyo ambapo mbali na vichwa hivyo viwili lakini pia walikamata bunduki mbili aina ya  AK47,kofia mbili za jeshi pamoja na simu nyingi

Watu saba wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria katika hoteli moja iliyopo karibu na soko moja maarufu sana nchini humo linalofahamika kwa jina la Ose-Okwodu katika 
mji wa Anambra baada ya kukamatwa kwa vichwa viwili vya binadamu vikiwa bado vibichi lakini jina la hoteli hiyo linahifadhiwakutokana na sababu za kiusalama
hotel human heads in onitsha 
“kila wakati nimekuwa nakuja hapa sokoni na kufanya biashara zangu katika hoteli hii kwasababu ipo karibu sana na soko.lakini nilikuja kugundua mambo ambayo sio ya kawaida ikiwemo watu wakiingia na kutoka katika hoteli hii,chakushangaza zaidi ni kutokana na watu hao kuwa ni wachafu sana wakati mwingine wakiwa wamechafuka damu,kwahiyo sikushangaa sana kusikia polisi wamegundua unyama huo jana asubuhi”alisema jamaa mmoja muuza mboga mboga katika eneo hilo.


Mchungaji mmoja ambaye ni mmoja kati ya watu waliowatonya askari kuhusu biashara hiyo ya nyama za watu katika hoteli hiyo alisema "niliwahi kwenda kwenye hoteli hiyo mapema mwaka huu,niliagiza chakula lakini baada ya kula nilihisi nyama ilikuwa na chumvi kwa kiwango cha N700,nilishangaa sana.kwahiyo sikujua kama ni nyama ya binadamu au la nilishangaa kwasababu ilikuwa inauzwa ghali sana”alimalizia mchungaji huyo

No comments:

Post a Comment