aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 11, 2013

Cheki jinsi kundi kubwa la watu likifuata msafara wa Ommy Dimpoz ndani ya Burundi


ommy1Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada ya kufika Burundi,  njiani kuelekea kwenye show alifuatwa na kundi kubwa la watu nyuma na pembeni ya gari lake na yeye akiwapungia mkono. Cheki hii picha kutoka kwake mwenye Ommy Dimpoz
ommy

No comments:

Post a Comment